1Wakorintho 16:1-4 - 31-05-2024
Utatu mtakatifu; Iweni na nia ya Kristo./ Heri Buberwa.

MATANGAZO YA USHARIKA
LEO TAREHE 26 MEI, 2024
SIKU YA UTATU MTAKATIFU
NENO LINALOTUONGOZA
SIKU YA LEO NI
IWENI NA NIA YA KRISTO
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna Mgeni aliyetufikia kwa cheti.
3. Matoleo ya Tarehe 19/05/2024
4. Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.
MATANGAZO YA USHARIKA
LEO TAREHE 19 MEI, 2024
SIKU YA KUKUMBUKA KUSHUKA KWA ROHO MTAKATIFU
NENO LINALOTUONGOZA SIKU YA LEO NI
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna Mgeni aliyetufikia kwa cheti.
3. Matoleo ya Tarehe 12/05/2024