News

Ziara za kuhudumu katika mitaa zinarejea baada ya kusimama kupisha janga la Covid-19 Tabora ni mtaa wa pili kutembelewa baada ya Viwege
Usharika wa Kanisa Kuu Azaniafront umekuwa mstari wa mbele katika kuunga mkono juhudi za serikali za kupambana na maambukizi mapya ya virusi vya Corona kwa kutoa elimu juu ya namna bora ya kujikinga kwa washarika kila siku za Jumapili katika ibada zote.

Pasaka: Kumbukumbu ya Kutesawa, Kufa na Kufufuka kwa Bwana wetu Yesu Kristo, Mkombozi wa Ulimwengu.
Semina hii ilifanyika usharikani Azaniafront ikiongozwa na Mwal. Grace Elirehema kuanzia tarehe 3/8/2017 hadi tarehe 11/8/2017
A delegation of 12 people, 10 youths and 2 Pastors from the Northern Great Lakes Synod of USA visited the Eastern and Coastal diocese of the Evangelical Lutheran Church of Tanzania from 20th June 2017.
EASTER GREETINGS “ For God so loved the world that He gave His one and only Son, that whoever believes in Him shall not perish but have eternal life.” John 3:16
Vijana 8 wakiambatana na viongozi 2, walifanya ziara ya wiki 3 katika kanisa rafiki la Kilutheri la Frondenberg, Ujerumani. Katika ziara hiyo walipata nafasi ya kushiriki mambo mbali mbali ya kikanisa, jamii, na mazingira ya wenzao wa Ujerumani.