Hii ni orodha ya Baraza Jipya la Wazee wa Kanisa wa Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front Cathedral. Baraza hili jipya lenye jumla ya wajumbe 33 ambao wamepatikana baada ya kufanyika uchaguzi na hivyo wajumbe hao kupigiwa kura nyingi na washarika wa Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front mnamo mwezi Agosti 2022.
Kwa mujibu wa Katiba ya KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani pamoja na Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front, wajumbe hawa watahudumu kwa kipindi cha miaka minne kuanzia mwaka 2022 mpaka 2026.

Baadhi ya wajumbe wa Baraza Jipya la Wazee (2022-2026) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wazee waliomaliza muda wao (2018-2022) wakati wa ibada ya kuwaaga Wajumbe wa Baraza waliomaliza muda wao na kuwaingiza kazini wajumbe wa Baraza jipya. Ibada iliongozwa na Baba Askofu Dk Alex Malasusa, 18 Agosti 2022.
Soma zaidi: https://www.azaniafront.org/wazee-wa-kanisa-na-viongozi-wa-vikundi-wain…
--------------------------------------------------------------
BARAZA LA WAZEE WA KANISA: 2022-2026
