Daily Words
Christ has poured out His Spirit in power, and He is building His church. Kristo amemtuma Roho wake kwetu katika nguvu, naye analijenga kanisa lake.../Pastor J. Mlaki
God can bring judgement to the Land. Mungu anaweza kuleta hukumu kwenye nchi. ../Pastor J. Mlaki.
If you live in obidience to Jesus Christ, expect challenges. Ukimfuata Yesu maishani, tegemea changamoto..../Pastor J. Mlaki
In the midst of our distress, depend on God. Katikati ya mateso na shida, mtumainie Mungu.../Pastor J. Mlaki
Turn to God in all your circumstances. Mgeukie Mungu katika hali zako zote../Pastor J Mlaki
God hears our cries. Mungu anasikia vilio vyetu.../Pastor J Mlaki.
Darkness can never overpower light. Giza kamwe haliwezi kushinda mwanga. .../Pastor J. Mlaki
Christianity requires obedience out of Love for God. Ukristo unahijtaji utii unaotokana na kumpenda Mungu. .../Pastor J Mlaki.
A believer is someone who believes that Jesus is the Christ, the Son of God...Mkristo au muumini ni mtu yule anayeamini kuwa Yesu ni Kristo, mwana wa Mungu. ../Pastor J. Mlaki
God is more ready to hear than we are to pray. Mungu yuko tayari kusikia zaidi ya jinsi tuombavyo.../Pastor J.Mlaki
