Daily Words

In Christian babtism, we are empowered by the Holy Spirit. Katika ubatizo wa Kikristo, tunapata nguvu ya Roho Mtakatifu. {Pastor J. Mlaki}
Jesus Christ is the Messiah. Yesu Kristo ndiye Mesiah
Trust in Jesus completely. Imani yako kwa Yesu isiwe na shaka. {Pastor J Mlaki}
Trust God all the time. Mwamini Mungu wakati wote. {Pastor J. Mlaki}
God promises to revive, lead, heal & encourage His humbled people. Mungu anaahidi kuleta uamsho kwa watu wake walio wanyenyekevu. {Pastor J Mlaki}
Christ's omniscience is an evident proof of his divinity. Kristo anajua mambo ya nyakati zote; na huu ndio ushuhuda kuwa yeye ni Mungu. {Pastor J Mlaki}
God is Alpha and Omega. Mungu ni Alpha na Omega. {Pastor J Mlaki}
Jesus is Lord and Savior. Yesu ni Bwana na Mkombozi.
Seek first the Glory of God. Tafuta kwanza utukufu wa Mungu {Pastor J. Mlaki}
The power of our oppressors will be broken. Nguvu ya watesi wetu itavunjwa. {Pastor J Mlaki}