Daily Words
Listen to the Holy Spirit inside you, follow his guidance. Msikilize Roho Mtakatifu ndani yako na ufuate anavyokuongoza. {Pastor P. Chuwa}
In this Christmas season, prepare to receive Jesus in spirit. Katika msimu huu wa Krismasi, jiandae kumpokea Yesu kiroho.
Pray that the Gospel reaches all people. Ombea Injili iwafikie watu wote. (Pastor P. Chuwa)
The Supremacy of the Son of God, Jesus Christ. Ukuu wa Mwana wa Mungu, Yesu Kristo. {Pastor P Chuwa}
Trust in God. His timing is perfect. Mwamini Mungu, wakati wake ni sahihi. {Pastor P Chuwa}
We will have a new life in heaven. Tutakuwa na maisha mapya mbinguni. (Pastor P. Chuwa)
We will have a new life in heaven. Tutakuwa na maisha mapya mbinguni. (Pastor P. Chuwa)
God desires that we would love and serve Him. Mungu anataka tumpende na tumtumikie. {Pastor P. Chuwa}
Jesus said "and whoever lives by believing in me will never die. Do you believe this?” Yesu alisema "Naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je! Unayasadiki hayo? {Pastor P Chuwa}
May God increase your faith. Omba Mungu aongeze imani yako. {Pastor P. Chuwa}
