Daily Words

Seek God first and all alse will be give unto you...Tafuta ufalme wa Mungu kwanza na mengine yote utapewa. {Pastor P Chuwa}
Pray that God help's you to choose wisely. Omba Mungu akujaidie kuchagua vizuri. {Pastor P. Chuwa}
Stand for what is right and not just to desire to go with the crowd... Tusimamie haki na sio kufuata mkumbo. {Pastor P Chuwa}
All the Glory is to God in high heaven. Utukufu wote ni wa kwake Mungu aliye juu Mbinguni. {Elder C. Swai}
Beware of false teachings. Jihadhari na mafundisho potofu. {Pastor P. Chuwa}
Through trials and tribulations, Jesus is by your side. Katika shida na matatizo, Yesu yuko pamoja nawe. {Elder C. Swai}
We should help others come to Christ. Tuwe msaada kwa wengine kuja kwa Yesu. {Elder C. Swai}
Freedom of a Christian. Uhuru wa Mkristo. {Pastor P Chuwa}
God protects his people. Mungu analinda watu wake. {Elder C. Swai}
Treat your neighbour according to the work of God. Mfanyie jirani yako kama neno la Mungu linavyoelekeza. {Pastor P. Chuwa}