Daily Words
Christians are called to work hard and to support their own lives. Wakristo wanaaswa kufanya kazi kwa bidii na kujitegemea.
We are all brothers and sisters in Jesus Christ...Sote tu ndugu katika Yesu Kristo
God tells us to love our enemies...Mungu anatuambia tuwapende maadui zetu.
It's our duty to protect the weak...Ni jukumu letu kuwalinda wanyonge. {By Pr. P Chuwa}
Let your life be a good witness of the word of God in you. Maisha yako yawe ushuhuda wa neno la Mungu lililo ndani yako.
Help your neighbour freely, rather than seek to profit from them. ..Msaidie jirani yako bila kutafuta faida.
Learn to forgive those who have wronged you..Jifunze kusamehe waliokukosea..{By Pastor P. Chuwa}
Pray that God would give you true wisdom which will overflow into your speech...Mungu atupe hekima ya kweli ili maneno yetu yawe ya busara kila wakati...{By Pr P. Chuwa}
Our words and actions say who we are....Maneno yetu na matendo yetu yanatutambulisha kuwa ni watu wa aina gani..{By Pr P. Chuwa}
God detests lying ...Kusema uongo ni chukizo kwa Mungu.
