Daily Words
Jesus is the light of the world. ...Yesu ni Nuru ya Ulimwengu.
God gave the Israeli people the Promised Land. The land was shared out among the 12 tribes...Mungu aliwapa Waisraeli nchi ya ahadi. Aligawa nchi hiyo kwa kabila 12 kila mmoja kwa eneo lake.
Let us not carry the burden of last year. In this New Year let us press towards our goal...Tusibebe tena mizigo ya mwaka jana. Tusonge mbele. Tukaze mwendo.
God is powerful. He is the one who created and sustains the world. ....Mungu ni mwenye nguvu. Mungu aliumba dunia na anatunza uumbaji wake wote.
We all want to be blessed and live fruitful and successful lives. Tunatamani sisi sote kubarikiwa na kupata furaha na mafanikio katika maisha yetu.
As we start this New Year let us commit our lives to Jesus. Let us put God first...Tunapoanza mwaka mpya, tujikabidi kwa Yesu. Tutafute kufanya mapenzi ya Mungu katika kila kitu.
By the Grace of God we have come to the end of another year...Kwa neema ya Mungu tumefika mwisho mwa mwaka.
The Magi showed great honour to Christ. They went a long way to find Him. They worshipped Him though He was only a baby...Mamajusi walikuwa na bidii kumtafuta Kristo. Walisafiri kutoka mbali. Waliabudu na kumsujudu pamoja na alikuwa mtoto mdogo.
After Stephen the First Christian Martyr was killed the church suffered great persecution...Baada ya kuuwawa kwa Stephano, Mfia dini Mkristo wa kwanza, kanisa lilipata mateso sana.
God made the world and He cares for all His creation. God loves us and we are precious to Him. ...Mungu aliumba ulimwengu na anatunza uumbaji wake. Mungu anapenda kila kiumbe na hasa sisi wanaadamu.
