July 2024
Mhubiri 12:1-2 - 09-07-2024
Bidii ya kijana, mafanikio ya Kanisa./ Heri Buberwa.
Mithali 8:17-18 - 08-07-2024
Bidii ya kijana, mafanikio ya kanisa./ Heri Buberwa.
Mithali 7:1-3 - 06-07-2024
Ninyi ni barua ya Kristo./ Heri Buberwa.
1 Wakorintho 4:14-21 - 05-07-2024
Ninyi ni barua ya Kristo. /Heri Buberwa.
TANGAZO: Mwaliko wa Ziara ya Messiah, USA. Jisajili hapa kushiriki!
Mpendwa Msharika, soma Tangazo lililopo hapa chini ili uelewe nini kinahitajika kuweza kushiriki katika ziara ya kwenda Usharika rafiki wa Messiah nchini Marekani mnamo mwezi Septemba 2025. Pia kama una vigezo vya kushiriki katika ziara hiyo, jiandikishe katika fomu iliyoambatanishwa hapa ili kuanza taratibu za awali za safari hiyo.
Asante.
TANGAZO
------------------------------------
Kutoka 23:24-32 - 04-07-2024
Ninyi ni barua ya Kristo./ Heri Buberwa.
Yohana 13:12-15 - 03-07-2024
Ninyi ni barua ya Kristo. / Heri Buberwa.
Mathayo 12:46-50 - 02-07-2024
Ninyi ni barua ya Kristo./ Heri Buberwa.
Tito 2:6-8 - 01-07-2024
Ninyi ni barua ya Kristo. /Heri Buberwa.
