May 2025
2 wafalme 20:1-11 - 12-05-2025
Matangazo ya Usharika tarehe 12 Mei 2025
MATANGAZO YA USHARIKA
TAREHE 11 MEI, 2025
SIKU YA BWANA YA 3 BAADA YA PASAKA
NENO LINALOTUONGOZA NI
NDANI YA YESU KUNA MAISHA MAPYA
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna Mgeni aliyetufikia na cheti.
3. Matoleo ya Tarehe 04/05/2025
Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.
NAMBA YA SADAKA KWA NJIA YA MTANDAO:
0757 391174 - KKKT AZANIA FRONT
Yohana 10:11-16 - 09-05-2025
Mathayo 9:35-38 - 08-05-2025
Matendo ya Mitume 20:32-35 - 07-05-2025
Isaya 33:21-24 - 05-05-2025
Matangazo ya Usharika tarehe 4 Mei 2025
MATANGAZO YA USHARIKA
TAREHE 04 MEI, 2025
SIKU YA BWANA YA 2 BAADA YA PASAKA
NENO LINALOTUONGOZA NI
YESU NI MCHUNGAJI MWEMA
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna Mgeni aliyetufikia na cheti. Kama kuna wageni ambao ni mara yao ya kwanza kushiriki nasi wasimame ili tuwakaribishe.
3. Matoleo ya Tarehe 27/04/2025
Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.
NAMBA YA SADAKA KWA NJIA YA MTANDAO:
