June 2025
Matendo ya Mitume 13:49-52 - 10-06-2025
Matangazo ya Usharika tarehe 8 Juni 2025
MATANGAZO YA USHARIKA
TAREHE 08 JUNI, 2025
NENO LINALOTUONGOZA NI
ROHO MTAKATIFU NI USHINDI WETU
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna Wageni waliyeotufikia na cheti.
3. Matoleo ya Tarehe 01/06/2025
Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.
NAMBA YA SADAKA KWA NJIA YA MTANDAO:
0757 391174 - KKKT AZANIA FRONT
Lipa namba M-PESA – 5795794 – KKKT AZANIA FRONT CATHEDRAL
Yohana 7:25-32 - 07-06-2025
Mwanzo 18:27-33 - 05-06-2025
Kutoka 17:8-6 - 04-06-2025
Yakobo 5:16-18 - 03-06-2025
Waefeso 6:18-20 - 02-06-2025
Matangazo ya Usharika tarehe 1 Juni 2025
MATANGAZO YA USHARIKA
TAREHE 01 JUNI, 2025
NENO LINALOTUONGOZA NI
MUNGU HUSIKIA MAOMBI YETU
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna Wageni waliyeotufikia na cheti.
3. Matoleo ya Tarehe 25/05/2025