Ayubu 40:1-9 - 10-11-2025
Tuvumilie hata mwisho katika Bwana. { Somo na Heri Buberwa}

DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI
MATANGAZO YA USHARIKA
TAREHE 09 NOVEMBA, 2025
SIKU YA BWANA YA 3 KABLA YA MAJILIO
NENO LINALOTUONGOZA NI
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna mgeni aliyetufikia na cheti.
3. Matoleo ya Tarehe 26/10/2025
Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.
NAMBA YA SADAKA KWA NJIA YA MTANDAO:
- 0757 391174 - KKKT AZANIA FRONT