Daily Words

Mungu atakayetupokea uzimani ndie atupae neema ya kumfuata kwa ukamilifu. /Heri Buberwa.
Pokea wito wa kuishi kwa imani. /Heri Buberwa
Uzima wa Ulimwengu ujao. The life of the world to come. /Heri Buberwa
Yesu atarudi kuwahukumu walio hai na wafu. /Heri Buberwa.
Tumwakilishe Mungu kwa kutenda haki. /Heri Buberwa.
Hatuna budi kuwa waaminifu kwa Mungu kwani yeye alitupenda kwanza. /Heri Buberwa.
Tunaitwa kutumia vipawa tulivyopewa kwa ajili ya Bwana. We are called to use the talents we have been given for the Lord. /Heri Buberwa
Hukumu ya mwisho: Mungu atamhukumu kila mmoja kulingana na matendo yake. Final judgement: God will judge each one according to their deeds./ Heri Buberwa.
Hukumu ya mwisho. /Heri Buberwa.
Tunakumbushwa kumcha BWANA,  maana saa ya hukumu inakuja. We are reminded to fear the Lord, for the hour of judgment is coming. /Heri Buberwa.