Daily Words
Haki huleta baraka, bali jina la mtu mwovu huoza. Righteousness brings blessings, but the name of the wicked one will rot! /Heri Buberwa.
Yesu pekee ndiye mtawala wa milele. /Heri Buberwa
Kufa katika Kristo kunakupa uenyeji wa Mbinguni. Dying in Christ, will assure your place in Heaven. /Heri Buberwa.
Tudumu katika misingi wa imani. /Heri Buberwa.
Uenyeji wa Mbinguni. Citizenship of Heaven. /Heri Buberwa.
Ukomavu wa imani yetu, unategemea neno la Mungu katika Maisha yetu.
Kanisa kuwa nyumba ya sala ni maelekezo kwetu kuishi kwa neno la Mungu. The Church being a house of prayer is a guide for us to live by God's word. /Heri Buberwa.
Nuru yetu na iwaangazie wengine. /Heri Buberwa
Ufalme wa Mungu utatekwa na wenye nguvu. The kingdom of God will be taken by the powerful. /Heri Buberwa.
Mwenye haki ataishi kwa imani
