Daily Words

We need a savior. We cannot make ourselves good enough to please God. That is why Jesus had to come to die for us...Binadamu wote tunahitaji Mwokozi. Sote tu wenye dhambi na hatuwezi kujiokoa......
This letter was written by the Apostle Paul to Timothy who was his spiritual son and a young Pastor....Mtume Paulo anamwandikia Timotheo mtoto wake wa kiroho na Mchungaji kijana.....
Today we remember how Martin Luther wrote 95 Theses on the church door in Wittenburg, Germany on 31st October 1517....Kila mwaka Jumapili ya mwisho wa mwezi wa kumi ni siku ya kukumbuka matengenezo ya Kanisa.....
God speaks to the rich and powerful people through the Prophet Amos. God sees what they do and He is not happy. ..Mungu anasema na watu wake kupitia Nabii Amosi. Mungu anachukia tabia mbaya ya badhi ya matajiri ambao wanatesa maskini na kuwanyima haki...
The Psalmist is feeling harassed and oppressed by his enemies. He calls out to God for justice and mercy. He asks God to help him... Mtunga zaburi anamlilia Mungu. Anajisikia kuteswa na maadui zake. Anamwomba Mungu huruma na haki.
These words of The Apostle Paul echo the words of our Lord Jesus Christ when He said pay to Caesar what belongs to Caesar and to God what belongs to God. (Matthew 22:21)...Maneno haya ya mtume Paulo yanafana na maneno ya Yesu Kristo mwenyewe akisema “Mlipeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na Mungu yaliyo ya Mungu” (Mathayo 22:21).....
Through the Prophet Jeremiah God proclaimed judgement upon His people. The King and people of Judah had not been faithful to God so God allowed them to be taken captive and their country destroyed. ...Mungu alimtumia nabii Yeremia kuonya mfalme na watu wa Yuda. Mfalme alipotosha watu na walimwasi Mungu. Waliabudu miungu wengine.....
God has forgiven and continues to forgive each one of us whenever we repent of our sins. We should be merciful to others and willing to forgive them when they do wrong....Mungu ni wenye huruma nyingi na yupo tayari kutusamehe dhambi zetu zote kila wakati tunapotubu kwa kweli..
This is the testimony of Job. He suffered a lot in his life. But he did not give up his faith in God....Huu ni ushuhuda wa Ayubu. Alikuwa mcha Mungu. Aliteswa sana katika maisha yake lakini hakukata tamaa..
The Book of proverbs is a book of wise about how to live to please God and to be a blessing in society.....Kitabu cha Mithali ni kitabu cha hekima. Kinatuelezea jinsi ya kuishi kumpendeza Mungu na kuwa baraka kwa jamii.....