Council of Elders

Inahusika na miradi ya uzalishaji usharika.
Inasimamia maswala ya fedha Usharikani.
Inahusika na maswala ya Injili ndani na nje ya Usharika
Kamati ya Utendaji inaundwa na Wazee wenyeviti wa kamati zote na mwenyekiti wa baraza.